Burudani

Dudu Baya afunguka kuitwa polisi kisa list yake ya ushoga ‘naenda nikiwekwa ndani basi’ (Video)

Msanii wa muziki wa hip hop, Dudu Baya amefunguka kwa kudai kwamba ameitwa na Mkuu wa Upelelezi Polisi Kinondoni kwaajili ya kuhojiwa kuhusiana na list za watu wanaodaiwa kuwa ni mashoga ambazo amekuwa akizisamba mtandaoni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents