Mahojiano

Dudu baya ajisalimisha Basata baada ya kukaidi wito wao, Akata rufaa ya kuonana na Waziri – Video

Dudu baya ajisalimisha Basata baada ya kukaidi wito wao, Akata rufaa ya kuonana na Waziri - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva GODFREY TUMAINI alimaarufu DUDU BAYA @konki3master Ameeleza nia yake ya kujisalimisha @basata.tanzania Baada ya kukaidi wito alioitwa BASATA tarehe 6/01/2020 ambapo alihitajika kufika katika ofisi za Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).


Lakini baada ya kukaidi wito huo wa Basata mnamo tarehe 07/01/2020 @basata.tanzania Ilitangaza kumfungia muziki na leo aliamua kwenda @basata.tanzania Kwa ajili ya kuomba radhi na kutoa maelezo baada ya kupata tuhuma ambazo BASATA walieleza kwenye barua yao.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents