Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Dudu Baya aripoti Ostabay Polisi na baada ya dakika 10 kuruhusiwa kuondoka (Video)

Msanii wa muziki wa hip hop Dudu Baya ametoka kituo cha Polisi Ostabay baada ya kukaa kwa dakika 10. Rapa huyo amedai ameambiwa asizungumze chochote na waandishi wa habari juu ya kile alichoambia.

Bongo5 inafanya jitihada za kuzungumza na Kamanda wa Polisi Kinondoni kuhusiana na ishu hiyo .

Mapema leo akizungumza na waandishi wa habari alisema alipigiwa simu na Mkuu wa Upelelezi Kinondoni Ostabay kuhusu video kadhaa ambazo amekuwa akizipost mtandaoni kuhusiana na sakata la ushoga.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW