Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Dudu Baya atua ofisini kwa Diamond, aeleza kuhusu Konki Master na bifu lake na Mange Kamambi

Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya aka Konki Konki Master amefunguka kuzungumzia mahusiano yake na Diamond Platnumz muda mchache baada ya kutangazwa kwamba atakuwa kwenye tamasha la Wasafi Festival.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW