Mahojiano

Dudu baya “Diamond aliniambia amezungukwa na maadui wengi sana Wasafi, ndio mana nilikataa nyimbo zangu kupigwa pale” – Video

Dudu baya "Diamond aliniambia amezungukwa na maadui wengi sana Wasafi, ndio mana nilikataa nyimbo zangu kupigwa pale" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva DGodfrey Tumaini  alimaarufu Dudu baya ameeleza sababu za kukataza nyimbo zake kupigwa katika kituo cha WASAFI MEDIA.


Ameeleza pia sababu ya yeye kukandamizwa na watu wasiompenda wanaofanya kazi Wasafi media, lakini mbali nahilo ameelza kuwa Diamond alimwambia kuna maadui wengi sana wamemzunguka Wasafi media.

By Ally Juma.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents