Burudani ya Michezo Live

Dudubaya aeleza jinsi wasanii wa Tanzania wanavyoharibu jamii, Diamond hajawahi kunishauri chochote (+ Video)

Dudubaya aeleza jinsi wasanii wa Tanzania wanavyoharibu jamii ' Wanaishi maisha ya uongo vijana wetu watajifunza nini' (+ Video)

Msanii na mlongwe wa muziki wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini alimaarufu Dudubaya amefunguka mengi sana na kuongelea kuhusu kukerwa na wasanii wanaoishi maisha ya kudanganya mitandaoni.

kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo5 Dudu baya pia ameeleza jinsi misiba ya wasanii wawili Kanumba na Sharo milionea ilivyomfunza kimaisha:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW