Tupo Nawe

Dudubaya afunguka usiyoyajua kuhusu maisha yake, aonyesha mjengo anaoishi asema ” Wasanii wengi wanaishi kwenye chumba kimoja, Diamond alitaka kunipa gari” (+ Video)

Dudubaya afunguka usiyoyajua kuhusu maisha yake, aonyesha mjengo anaoishi asema " Wasanii wengi wanaishi kwenye chumba kimoja, Diamond alitaka kunipa gari" (+ Video)

Msanii na mlongwe wa muziki wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini alimaarufu Dudu baya amefunguka mengi sana na kuionyesha nyumba anayoishi kwa sasa.

kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo5 Dudu baya pia ameeleza kuhusu kumpiga Gigy Money baada ya kumtongoza:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW