Burudani
Dulla Makabila aeleza alivyoumizwa na mpenzi wake ambaye alitaka kumuoa (Video)
Msanii wa muziki @dullamakabila amefunguka kuzungumzia jinsi alivyoumizwa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni daktari . Mapema wiki hii muimbaji huyo wa Singeli aliandika ujumbe mzito mtandaoni akionyesha jinsi alivyoingizwa mkenge.