Uncategorized

Dullah wa Planet Bongo afiwa na mtoto wake

Mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo kutoka East Africa Radio & TV Abdallah ‘Dullah’ Hamis Ambua wengi tunamjua kwa jina la Mjukuu wa Ambua jana amefiwa na mtoto wake wa kwanza, ambaye alikua na siku moja tu tangu kuivuta pumzi ya duniani…

Hii ndio picha alioweka katika ukurasa wake wa Facebook baada ya mtoto wake kuzaliwa
Hii ndio status aliyoandika Facebook baada ya kumpoteza mtoto wake, so sad…

Kwa mujibu wa taarifa toka kwa watu waliokaribu na msanii huyo mtoto huyo alifariki juzi na kuzikwa siku hiyo hiyo.

Bongo5.com inakupa pole kijana mwenzetu Abdallah, tuko nawe katika kipindi hiki kigumu kwako na familia yako. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya mtoto huyo wa Abdallah..Amen

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents