Burudani

Dullvani alamba dili la ubalozi, afunguka jinsi alivyokuwa akiiba madela ya Mama yake (Video)

Mchekeshaji @dullvani Jumatano hii amelamba dili la ubalozi kutoka ya maduka ya Mr Chambua ambapo tulipata fursa ya kuzungumza naye mengi kuhusu mafanikio yake. Dullvan amedai kabla ya mafanikio aliyoyapata sasa alianza kuigiza mama chogo kwa kuiba madila ya mama yake.

Katika hatua nyingine Mchekeshaji huyo amesema kuna wakati anakutana na maneno ya watu kwamba ni shoga kitu ambacho hakina ukweli wowote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents