Burudani

Dully afungua studio ya pili

Dully_shjoo_face

Mwanamuziki Dully Syskes ameuanza mwaka vizuri baada ya kuongeza studio ya Pili inayokwenda kwa jina la 4.12 record ambayo anaiongoza mwenyewe. mwanamuziki huyo amesema kwamba kila studio itakuwa inajitegemea ingawa Co, atakuwa yeye mwenyewe.


Studio hiyo itakuwa baada ya ile ya Dhahabu, na hii mpya amesema ipo maeneo ya Tabata…

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents