Burudani

Dully anakuja na ‘Tapatapa’

Image
Kama ulifikiri ngoma ya Shikide kutoka kwa Dully Sykes ndiyo ngoma kali kuliko zote za Dully, fikiri tena. Jamaa ameing’ata Bongo5 sikio kuwa mwezi Machi ataachia ngoma mpya kwa mwaka huu ‘Tapatapa’ au Top of the toppest ambayo imekaa kibata kupita maelezo. Audio zimefanyika kwenye studio za Dhahabu recordz na kwa sasa yuko kwenye harakati za kutengeneza video na Visual lab

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents