Aisee DSTV!

Dully Sykes adai muziki wake unasimamiwa na WCB kwa 50% “Wanaonisema mbona wameshindwa kunisaidia” (Video)

Dully Sykes afunguka mazito baada ya kuachia wimbo ‘Nikomeshe’ akiwa na Harmonize “Muziki wangu kwa asilimia 50 unasimamiwa na WCB, Wanaonipiga vita ni vijana wangu, wengine kisa kuwa karibu na WCB lakini acha waninunie tu kwa sababu msaada ninaoupata WCB ni mkubwa”

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW