Burudani

Dully Sykes auzungumzia wimbo wake mpya ‘Shuka’ unaotoka Jumatatu ijayo

Dully Sykes ataachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Shuka’ Jumatatu ijayo.

923851_969063139773056_1147065381_n

Wimbo huo umetayarishwa na yeye mwenyewe kwenye studio zake za 4.12.

“Wimbo huu upo katika mahadhi ya kucheza zaidi na video tayari nimeshafanya, nimefanya kwa Adam Juma,” Dully ameiambia Bongo5.

“Nimejaribu kufanya vitu tofauti katika huo wimbo. Nimefanya Bongo Flava mwanzo lakini mwisho kuna kama sebene. Huo wimbo ni kwaajili ya watu wangu wa East Africa.”

Msikilize zaidi hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents