Duma afunguka gharama ya filamu yake mpya ‘nimetumia mil. 45 kuitengeneza’ (+Video)

Duma afunguka gharama ya filamu yake mpya 'nimetumia mil. 45 kuitengeneza' (+Video)

Msanii wa filamu Daudi Michael Tairo, anayefahamika zaidi kwa jina la Duma ndani ya tamthilia ya Siri ya Mtungi ameelezea mipango yake ya uzinduzi wa filamu mpya ya ‘Nipechangu’ Agosti 18 , 2018 siku ya Jumamosi Mlimani City ikiwa imegharimu jumla ya milioni 45.

Related Articles

3 Comments

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW