Mahojiano

Duma ampongeza Mlela kwa kugombaniwa na wanawake “Hiyo ni bahati sana na pole yake Ebitoke, kiki zinasaidia sana” – Video

Duma ampongeza Mlela kwa kugombaniwa na wanawake "Hiyo ni bahati sana na pole yake Ebitoke, kiki zinasaidia sana" - Video

Msanii wa Bongo Movie @duma_actor amempongeza Msanii mwenzake wa Bongo Movie @mlelandro kwa kugombaniwa na wanawake. Duma ambaye amedai kwamba Mlela amemzidi kwenye Tasnia amemshauri kuwa angefanya jambo la kistaarabu kwa kuwaoa wote @ebitoke na mwanamke wa sasa wa Mlela kwa siku moja na ingekuwa ndoa ya taifa.


Mbali na @duma_actor amesema kuwa kiki kwa wasanii zinasaidia sana huku akisema kutokuelewana kwake na @gabozigamba sio kiki na hajawahi kufanya kiki.

By Ally Juma.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents