Michezo

Dunia kushuhudia pambano kali Taylor Vs MacCaskill

Mwanadada Katie Taylors raia wa Ireland anatarajia kuingia ulingoni usiku wa Jumatano hii kuwania mkanda wa dunia kwa mara ya kwanza dhidi ya Jessica McCaskill huko York Hall.

Baada ya miezi 12 ya kuwa fiti katika mchezo huo wa masumbwi , bingwa huyo wa medali ya dhahabu wa mwaka 2012,Taylor anarejea London katika jiji aliloanza mchezo huo katika kuhakikisha anatwaa mkanda huo wa WBA uzito wa lightweight.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents