Habari

D’Weekend Chat Show ya Clouds TV kufanya ‘Birthday Bash’ Mwanza, Arusha, Dar na Zanzibar

Kipindi cha D’Weekend Chat Show cha Clouds TV kinatarajia kufanya party ya kusherehekea mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake katika miji minne nchini. Birthday Bash hiyo ya kwanza itafanyika kuanzia Ijumaa ya wiki hii jijini Mwanza kwenye kiota cha Club Fusion.

IMG-20130612-WA004

IMG-20130612-WA003

Jumamosi ya June 15, bash hiyo itafanyika jijini Arusha kwenye ukumbi wa Triple A.

IMG-20130612-WA005

IMG-20130612-WA006

Birthday Bash hiyo itahudhuriwa na watangazaji wa show hiyo ambao ni Lugha Kali, Lady Hahaa, Noelitta na Qwhisar.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents