Burudani ya Michezo Live

Ebitokea avamia mkutano wa Mlela na waandishi wa habari na kuleta vurugu, Mlela azungumza haya – Video

Ebitokea avamia mkutano wa Mlela na waandishi wa habari na kuleta vurugu, Mlela azungumza haya - Video

Mchekeshaji Ebitoke ameuvamia mkutano wa Mwigizaji Mlela na Waandishi wa Habari Dar es salaam na kutaka kupigana wakati Mlela akizungumza na Waandishi huku akiwa ameongozana na Mpenzi wake mpya baada ya kuachana na Ebitoke.

Mwanaume anayesikika ni Mwanaume anaeaminika kuwa Kaka wa Ebitoke alisikika akimwambia Mlela “umemuharibia maisha mdogo wangu.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW