Habari

EFM yakanusha kurusha habari ya Profesa Kitila kukataa uteuzi wa Rais Magufuli

Kituo cha redio cha EFM, kimekanusha taarifa zilisambaa mtandaoni kuwa Profesa Kitila Mkumbo aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji amekataa uteuzi huo. Kituo hicho kimesema taarifa hizo ni za uzushi.

Hii ni taarifa yake:

Wakati huo huo Profesa Mkumbu ametweet: Namshukuru mhe Rais @MagufuliJP kwa heshima aliyonipa katika kutumikia nchi yetu katika nafasi ya Katibu Mkuu. Mungu anisaidie.

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents