Burudani

Elizabeth achumbiwa!!

Mshindi wa Big Brother Africa 4 Revolution, Kevin Chuwang Pam amemchumbia dada yetu Elizabeth Gupta maara tu baada ya kuimba kwa pamoja wimbo wao mpya  “Unapata Mambo” ndani ya Ogus Baba Laugh Goes On comedy clu” jijini Port Harcourt nchini Nigeria.

Chanzo chetu cha habari kinasema kwamba washiriki hao wa BBA4, iliyofanyika mwaka jana jijini Johannesburg, wamechumbiana na kuahidiana ndoa Jumamosi iliyopita (Agosti 21) na mtu mzima Kevin atatua Bongo siku yoyote kutambulishwa rasmi kwa wazazi wake Elizabeth.

Watu walishangaa na kujiuliza maana yake kwa Kevin kuvaa tshirt ya Tanzania alipotangazwa kuwa mshindi wa BBA4, naona sasa baadhi ya watu watakuwa wamepata jibu lao.

{youtube}rVS50DCXO3A{/youtube}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents