Picha

Elizabeth II awa malkia aliyedumu kwenye nafasi hiyo kwa muda mrefu kuliko wote

Malkia Ezalibeth wa pili amekuwa malkia wa Uingereza aliyedumu kwenye kiti hicho kwa miaka mingi zaidi kuliko wote.

2C1BC42D00000578-3227521-image-m-139_1441798131546

Malkia Elizabeth mwenye umri wa miaka 89 amekuwa kwenye kiti hicho kwa miaka 63 na miezi saba. Hiyo ni sawa na siku 23,226.

2C1B5F6100000578-3227521-Welcome_Queen_Elizabeth_was_met_by_a_young_girl_at-m-81_1441794889482

Malkia alizungumza kwa ufupi mbele ya umati wa watu baada ya kuvunja rekodi ya bibi kizaa bibi yake Queen Victoria.

2C1B93AF00000578-3227521-image-a-111_1441796528687

2C1B92A400000578-3227521-image-a-119_1441797004843

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents