Burudani

Elton John amsifu gavana wa NY kusimia ndoya ya jinsia moja

elton_john

Mwanamuziki kutoka nchini Uingereza Elton John, amemshukuru na kumwagia sifa govana wa  New York Marekani Andrew Cuomo  kwa  kuudhulia katika hafla ya kuchangia  Elton John AIDS  Foundition.




Pia alimwagia sifa kwa kurusimia vizuri na kuunga mkono ndoa ya jinsia moja, kwani kwa upande wake inamfanya  kutimiza  ndoto yake ya  kuipa heshima ndoa ya jinsia moja na kukubaliwa na watu kama ilivyo ndoa nyingine.

New York limekuwa jimbo la sita kuruhusu ndoa ‘hiyo ya jinsia moja, tangu ilipopishwa mwezi wa sita mwaka huu.

Elton_john_patner

Hapa Elton John akiwa na Patner wake David Furnis

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents