Habari

Elton John amtaka David Beckham awe kocha wa mwanae



Sir Elton John amemwomba David Beckham kumfundisha mwanae (wa adoption) Zachary jinsi ya kucheza soka kama mchezaji wa soka wa kulipwa.
Mwanamuziki huyo wa Uingereza mwenye miaka 65 anahisi mwanae anaweza kuwa mchezaji mahiri baadaye, kama atapata msaada kutoka kwa Beckham.
Vyanzo vimeliambia gazeti la Daily Star: “Elton can teach him everything he wants to know musically, but when it comes to anything athletic, he’s clueless.”So as soon as Zach’s old enough, he wants Beckham to help train him.
“Elton anadhani mwanae tayari ana kila kitu anachohitaji kuwa mwanamichezo akiwa mkubwa.”
Hiyo sio mara ya kwanza kwa Bechham kuombwa kuwa kocha na msanii. Hivi karibuni Justin Bieber alimuomba mchezaji huyo kuwa kocha wa timu yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents