Burudani

Elton John atamani kumkumbatia Jay-Z



Sir Elton John ameahidi kumkumbatia Jay-Z pindi akikutana naye baada ya rapper huyo kuunga mkono ndoa za jinsia moja.
Muimbaji huyo wa wimbo maarufu wa ‘Sacrifice’ amesema tayari ameongea kwa simu na mume huyo wa Beyonce Knowles.
Elton mwenye miaka 65 amekiambia kituo cha runinGa cha MSNBC: “Jay-Z, ni msanii wa Marekani mwenye asili ya kiafrika anayeheshimika zaidi, aliamua kusema kuwa si tu kuwa hakuna tatizo la ndoa za jinsia moja lakini ubaguzi wa aina yoyote haufai.
“It was an incredibly moving statement. I phoned him up in England and said, ‘You have no idea what you’ve just said, how powerful this is.’
“The African-American society were a little apprehensive about this all along, and when you get someone who is a role model like Jay-Z to come out and say this… I take my hat off to him and I respect him so much for doing that.”
Aliongeza:”When I next see him I’m going to give him the biggest hug.”
Jay-Z alitoa mawazo hayo mwezi May pale alipokuwa mmoja wa nyota wakubwa wa hip-hop kuunga mkono msimamo wa rais Barack Obama wa Marekani kuhusu ndoa za jinsia moja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents