Burudani

Elton John augua ghafla na kulazimika kuahirisha show

Sir Elton John amevunja show yake aliyotakiwa kuifanya ukumbi wa Caesars Palace mjini Las Vegas.

Muimbaji huyo kutoka Uingereza amefikia hatua hiyo baada ya kuugua na kulazimika kuwekwa chini ya uangalizi wa madaktari, katika hospitali nchini Uingereza. Alifanikiwa kuruhusiwa siku ya Jumsamosi ya April 22, baada ya hali yake kuonekana kuendelea vizuri.

Katika taarifa aliyoitoa muimbaji huyo, amewatoa hofu mashabiki wake kwa kusema, “Thankfully, Elton’s medical team identified this quickly and treated it successfully. He is expected to make a full and complete recovery.”

“I am so fortunate to have the most incredible and loyal fans and apologize for disappointing them. I am extremely grateful to the medical team for their excellence in looking after me so well,” ameongeza.

Inadaiwa kuwa show ya kwanza ya Elton itafanyika Juni 3 mwaka huu katika ukumbi wa Twickenham, Uingereza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents