Michezo

Emre Can aingia kandarasi ya miaka minne na Juventus

Kiungo wa klabu ya Liverpool, Emre Can amekubali dili la kujiunga na timu ya Juventus ya Italia kwa kandarasi ya miaka minne.

 

Kiungo wa klabu ya Liverpool, Emre Can

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani anatarajiwa kufanya vipimo vya afya mapema wiki hii huku akiondoka Liverpool baada ya mkataba wake na klabu hiyo kutarajiwa kufikia tamati mwishoni mwa mwezi huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents