Burudani
Enock Bella Afunguka Aslay Kuiba Daftari la Nyimbo za Yamoto Band (Video)
Msanii wa muziki ambaye alikuwa member wa Yamoto Band, Enock Bella amekanusha taarifa za kwenye mitandao ya kijamii kwamba Aslay alitoweka na daftari la nyimbo za Yamoto Band.