Mahojiano

Eric Omondi kumuiga Diamond kuhusu wanawake (+ Video)

Wakati anaingia Tanzania kwa ajili ya Festival ya Cheka tu ambayo ilifanyika siku ya Jumamaosi mchekeshaji namba moja Afrika mashariki kutoka Kenya @ericomondi aliongea manenno hayo kuwa Tanzania anatafuta mke.

WAkati anaulizwa maswali na mwandishi wetu kutoka Bongo5 @el_mandle kuhusu kuja Tanzania bila mke wake ambaye alimpata kati ya wale 9 alitoa majibu kuwa hajafanikiwa kuja anye kwa sababu anataka kuwa na muakilishi kila nchi yaani kuwa na mke kila nchi za Afrika mashariki.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents