Michezo

Ernesto aongeza mkataba wa mwaka mmoja na Bilbao

Kocha wa Athletic Bilbao Ernesto Valverde ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na timu hiyo ambao utamalizika mwishoni mwa mwezi wa sita 2017.

CcnkVE8WIAE96fO

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 52, amesaini mkataba huo baada ya siku moja tu kupita timu yake kuibuka na ushindi wakiwa uwanja wa nyumbani wa magoli manne kwa moja dhidi ya Deportivo.

Ernesto alijiunga na Bilbao mwaka 2013 akitokea timu ya Valencia ambayo aliifundisha timu hiyo kwa msimu mmoja tu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents