Burudani

Esha Buheti ajifungua mtoto wa kike

By  | 

Ikiwa imepita siku moja kwa mwanamitindo Hamisa Mobeto kupata mtoto wa kiume hapo jana, habari njema ni kuwa star mwingine kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Esha Buheti amefanikiwa kupata mtoto wa kike leo.

Kupitia mtandao wa Instagram wa msanii huyo ameweka picha ya mtoto wake na kuandika “ALHAMDULILLAH ,,,,,, ITS A BABY GIRL, ASANTE MUNGU KWA ZAWADI HII, ASANTENI WOTEEE KWA DUAAH ZENU MM NA MTOTO TUPO SALAMA ……”

Esha anakuwa ni miongoni mwa mastaa wa kibongo aliopata watoto kipindi cha hivi karibuni ambapo alianza msanii Linah Sanga, akaja na Faiza Ally na Hamisa Mobeto.

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments