Michezo

Eto’o afafanua kuhusishwa kutoa fedha kwa waliyokwama Libya

Nahodha wazamani wa timu ya taifa ya Cameroon na mshambuliaji wa FC Barceloma, Samuel Eto’o amekanusha tuhuma za kuwapatia fedha raia wa nchi hiyo ambao walikuwa wamekwama Libya na kuelezwa kuwa wamekuwa wakiuzwa kama watumwa.

Kupitia mitandao yake ya kijamii ya Instagram na Facebook Eto’o amekanusha vikali juu ya tuhuma hizo na kuwasihi watu kuonyesha upendo zaidi kwakuwa ndiyo kitu pekee kinachoweza kupambana na maovu na wala sio fedha.

Mshambuliaji huyo amehusishwa kuwaokoa Wacameroon waliyokuwa wamekwama Libya na kuwalipia usafiri wa ndege huku ikielezwa kuwa atatoa fedha kwa kila raia wa nchi yake aliyeokolowa.

“Several sites have circulated a rumor that I would have given money to every migrant returnee, in relation to a topical issue. This rumor is absolutely unfounded!”

“I would therefore take advantage of this opportunity, dear brothers and sisters, to emphasize that love prevents more evils than money can solve.”

“So let’s not waste our precious time looking for thrills at the expense of grieving people, but let us use this time to prevent other brothers from being deprived of their dignity.”

“Let us not just react when we can prevent, because among these victims are certainly people who have been our neighbours at some point, but to whom we have not daigné to look kindly. Let us build our Africa by having a positive impact on each other!.”

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents