Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Eva Marcille na Mike Sterling watarajiwa kupata mtoto wao wa kwanza

Muigizaji na mwanamitindo wa Marekani, Eva Marcille Pigford na mchumba wake Mike Sterling wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.

Mrembo huyo amethibitisha hilo kwa kupost picha katika mtandao wa Instagram ambayo inamuonyesha akiwa mjamzito.

Hata hivyo mtoto huyo atakuwa wa pili kwa Eva, baada ya mtoto wake wa kwanza aliyezaa na Kevin McCall January 31, 2014.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW