Michezo
Everton yamsajili kiungo Yannick Bolasie kutokea Crystal Palace
Klabu ya Everton imetangaza kumsajili kiungo Yannick Bolasie kutokea Crystal Palace kwa ada ya pauni milioni 25.
Mchezaji huyo kwa kimataifa wa DR Congo,27, amesaini mkataba wa miaka mitano kunako klabu hiyo.