Michezo

Everton imetangaza kumfukuza kazi kocha wake Roberto Martinez

Kocha Roberto Martinez baada ya kupata matokeo mabaya na klabu hiyo ya Everton imetangaza kumfukuza kazi kocha wake huyo, Everton hivi karibuni imekuwa na matokeo mabaya kabla ya kupoteza mchezo wao na Sunderland kwa kukubali kipigo cha goli 3-0 katika michezo yake mitano iliyopita ilikuwa imefungwa mechi tatu, sare mechi moja na ushindi mechi moja.

340E085800000578-3586450-Roberto_Martinez_alone_downcast_arms_tightly_crossed_his_default-m-35_1463067375427

Everton ambayo imebakiza mechi moja ili kumaliza msimu wa Ligi Kuu Uingereza, ipo nafasi ya 12 katika msimamo wa Ligi.

34134F6C00000578-3586450-image-a-13_1463051217431

Games 143, Wins 61, Draws 39, Losses 43

Goals scored 227, Goals against 180

Win % – 42.7

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents