Exclusive: Alikiba atuma vitisho Simba na Yanga kwa mazoezi makali (+video)

Mwanamuziki wa Bongo na mchezaji wa Coastal Union ya Tanga, Alikiba amewajibu kwa vitendo wale wote wanaombeza juu ya kiwango chake cha soka. Kiba ameonyesha kipaji cha hali ya juu kwenye mazoezi na kuwa kama salam kwa wote waliyokuwa wanadharau uwezo wake.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW