Bongo Movie

Exclusive Audio: Hemedy akielezea filamu mpya “2 Idiots” aliyoigiza na Gelly wa Rhymes

Filamu mpya ya Hemedy aliyoigiza na Gelly wa Rhymes, 2 Idiots, itaingia sokoni June 24, 2013. Filamu hiyo imeandaliwa na kampuni ya Virgo Films. Hemedy ameongea exclusively na Bongo5 kuhusiana na story iliyomo kwenye movie hiyo.

Screenshot - 4_11_2013 , 6_01_33 AM

Hemedy anasema 2 Idiots ni comedy inayowahusu washkaji wawili waliokuwa high school ambao kutokana na utundu wao wanajikuta wanafukuzwa shule na hivyo kutengana kwa muda. Lakini baadaye wanakuja kukutana tena. Msikilize hapa akielezea zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents