Burudani

Exclusive: EFM waeleza kwanini wamempiga ‘stop’ Mavoko kwenye Komaa Concert 2018 licha ya kumtangaza (Video)

Muimbaji, Rich Mavoko ameshindwa kufanya show yake ya kwanza ndani ya tamasha la Komaa Concert 2018 jijini Dar es salaam toka aondoke WCB baada ya uongozi wa EFM kuamua kusitisha asifanye show licha ya kumtangaza kwamba atakuwa kwenye tamasha hilo liliohudhuriwa na watu 30000.

Related Articles

13 Comments

  1. Mimi nawauliza tu hao jamaa hivi Omar Katanga ndio ‘kawakimbia’ mazima mara baada ya kuona anabaniwa KIAINA kwa kunyimwa fursa mbalimbali kama watangazaji wengine hasa wa vipindi vya michezo ama?!

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents