Burudani ya Michezo Live

Exclusive Interview: Julio (BBA Stargame) akizungumzia maisha baada ya BBA na kuingia kwenye muziki

Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Stargame mwaka jana, Julio Batalia amezungumza na Bongo5 kuhusiana na maisha baada ya Big Brother na career yake kimuziki. Kwa sasa ameachia wimbo mpya uitwao Mr Big Brother. Mtazame kwenye mahojiano haya akizungumza mengi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW