Michezo

EXCLUSIVE: Mchezo wa Ruvu Shooting Vs Azam FC waahirishwa kufuatia maji kujaa dimba la mabatini,Pwani (Video)

Mchezo wa Ligi kuu soka Tanzania Bara baina ya Ruvu Shooting dhidi ya klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC  uliyopangwa kupigwa leo kwenye dimba la mabatini umekhairishwa.

https://www.instagram.com/p/BheFQfPHHvV/?taken-by=azamtvtz

Mchezo huo uliyopangwa kupigwa majira ya saa 8:00 mchana umeghairishwa kufuatia uwanja wa mabatini,Pwani kujaa maji baada ya mvua kubwa kunyesha.

kwamujibu wa Azam Tv mchezo huo sasa utapigwa hapo kesho siku ya Ijumaa ya Aprili 13, 2018 majira ya saa 10:00 jioni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents