Burudani

Exclusive: Muigizaji wa Marekani, Meagan Good na mdogo wake Lamyia kuja Dar, December

Muigizaji wa filamu nchini Marekani Meagan Good na mdogo wake Lamyia Good wanatarajiwa kuja Dar es Salaam, mwezi December mwaka huu.

a0938d44023b11e3bb5822000a9e060e_7

Kwa mujibu wa promoter wa kimataifa, Hemdee Kiwanuka ambaye pia ni meneja wa AY, ndugu hao warembo watakuja Dar kwenye party na dinner maalum kwaajili ya amani na umoja.

meagan-good-4
Meagan Good

“@AyTanzania….. Yo, @LamyiaGood and @MeaganGood are excited to come and support our Peace and Unity Dinner. We can’t wait. Are you ready?”Hemdee alitweet jana.

meagan-good-wallpaper-399680121

Meagan Good ni muigizaji maarufu aliyeigiza kwenye filamu nyingi za Hollywood zikiwemo, Friday, Waist Deep,Stomp the Yard, Jumping the Broom, Think Like a Man na zingine.

Meagan-Good-Mens-Health-23

Pamoja na filamu, Good ameigiza kwenye series kibao za TV. Pia amewahi kuonekana kwenye video za muziki za wasanii kama 50 Cent, Lil’ Johnny, Memphis Bleek, Tyrese, na Will Smith.

Lamyia ni mwanamuziki aliyeshirikishwa na AY kwenye wimbo wake Speak With Ur Body.

9a859a16168e11e390fe22000ae810de_7

073f79820ee311e3b0f022000a9f1369_7

d1ccbcc6009e11e38c1022000a9e08e0_7

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents