Tupo Nawe

Exclusive na Babu Tale: Afunguka maisha ndani ya WCB, Tuzo, Kugombana na Diamond “Tunaroga mambo yaende” (Video)

Wiki hii ndani ya Bongo5 TV tulipata wasaa wa kuzungumza mengi na meneja na Diamond, Babu Tale ambaye ndani ya mwezi huu ameshinda tuzo ya Best African Talent/ Artists Managers 2019 kutoka kwa AEAUSA.

Meneja huyo kijana amefunguka kuzungumzia namna anavyofanya kazi kwa kushirikiana na Mkubwa Fella, pamoja na Sallam pamoja na changamoto zake.

Pia amedai kuna wakati alitamani kuacha kazi hiyo baada ya kuibuka kundi moja la wasanii ambalo liliandaa wimbo wakimtukana.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW