Habari

Exclusive: Nando kufanya birthday party Dar ya siku 10 na washiriki 7 wengine wa The Chase mwezi ujao

Ammy Nando atayaleta macho ya Afrika kwa walau siku 10 Dar es Salaam pale atakapofanya sherehe ya birthday yake mwezi ujao kwa kishindo.

EvictedProfile_0008_74d1aab9-1a24-4e1d-bbad-f477f8add475_511328225149649

Mshiriki huyo wa Big Brother Africa The Chase ataileta robo ya washiriki wa The Chase Tanzania kumsindikiza kwenye party hiyo ya siku 10.

page

“I will be having a massive bday party week in Dar es salaam next month…the craziest in Africa,” Nando ameiambia Bongo5 leo.

“Invited on the list; Brothers- Bimp, Angelo, Hakeem and Bolt, Sisters- Annabell, Beverly and Fatima. Schedule for the whole event will be out by next week. Invitations ONLY.”

The question is; will you be invited?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents