Bongo5 MakalaBurudani

Exclusive: Nazizi aangukia tena kwenye penzi la Mtanzania, ni Sappy producer wa Home Boyz Productions (Picha)

Baada ya rapper wa Necessary Noize, Nazizi kuthibitisha kuwa ameachana na mume wake, Bongo5 inathibitisha kuwa rapper huyo kwa sasa ni mpenzi wa Mtanzania mwingine, Herry Sappy, mtayarishaji wa muziki kwenye studio ya Home Boyz Productions ya Kenya.

IMG-20140314-WA0002
Penzi Motomoto: Sappy na Nazizi

Mume wa zamani wa rapper huyo ni Mtanzania pia.

IMG-20140314-WA0004
Familia: Sappy na Nazizi wakimbusu mtoto wa rapper huyo

Sappy ameiambia Bongo5 kuwa uhusiano wake na Nazizi ulianza siku ya Valentine’s (Feb 14, 2014) na kwamba wapo serious na wanapenda kwa dhati.

IMG-20140314-WA0005

“Mpango ni kuvishana pete,”Sappy ameiambia Bongo5.

IMG-20140314-WA0001

Nazizi ana mtoto mmoja wa kiume aliyezaa na mume wake waliyeachana.

IMG-20140314-WA0003

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents