Shinda na SIM Account

Exclusive: Nuh Mziwanda aizungumzia mistari ya FA baada ya Shilole kuolewa (Video)

Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Shilole, Nuh Mziwanda amefunguka kuzungumzia mistari ya wimbo wa Mwana FA, ‘Bado Nipo Nipo’ aliyoipost muda mchache baada ya aliyekuwa mpenzi wake huyo wa zamani kuolewa na kijana anayetambulika kwa jina na Uchebe.

Mapema Alhamisi hii muimbaji huyo aliandika “Aliyelala na bibi harusi wiki moja kabla ya harusi na wala sio bwana harusi bado mnanishauri harusi’ kauli ambayo ilitafsiriwa na wadau wa mambo kwamba dongo hilo linaenda kwa Shilole na Uchebe.

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW