Burudani ya Michezo Live

Exclusive: Picha 11 za girlfriend wa AY aliyemtambulisha kwa mara ya kwanza

Kwa mara ya kwanza, Jumanne hii, Ambwene Yessayah aka AY amemtambulisha girlfriend wake ambaye ajabu amekuwa naye tangia mwaka 2008.

Akipost picha ya mrembo huyo kumpongeza katika siku yake ya kuzaliwa, AY ameandika kwenye Instagram: Happy Birthday my wife to be..I LOVE YOU SO MUCH na unajua ♥️♥️♥️♥️♥️♥️???????????????? #MySade #KibokoYangu.

Kwenye picha nyingine akiwa naye, AY ameandika: 2008-2016
A trip down memory lane.. ???? #MaliYaZee ♥️♥️♥️♥️ #ZeeMapenziniLeo##.”

Jina la girlfriend wake ni Remy na anaishi nchini Rwanda. Mfahamu zaidi Remy kwa picha zake hizo chini:

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW