Habari

Exclusive: Q-Chilla atoa tangazo muhimu

Abubakar Katwila aka Q-Chilla amezungumza na Bongo5 kutoa taarifa muhimu kwa mashabiki wake.

Q-Chilla

“I just have to do it cause it’s the right time, bidhaa mpya inakuja sumu juu ya sumu, my diehard fans all over.Soon natarajia kurelease wimbo wangu mpya. Ni mapema kusema jina la wimbo na production imefanyika wapi ila fans wategemee makubwa mwaka huu like I said before I just want to introduce a different person.

Inatia moyo nina furaha kuona watu walivyoipokea beautiful. Please let my people realise I am on my move, I love them and appreciate them. Vocalist assassin, strong government, Chocolate City.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents