Burudani

Exclusive: Rapper Mabeste kuanza kufanya muziki wa Gospel

Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliye chini ya B’Hits Music Group, Mabeste ameamua kubadilika kidogo na kuongeza wigo wa nyimbo anazofanya ambapo sasa atakuwa akifanya pia kwenye muziki wa gospel.

DSC_0251

Akiongea na Bongo5, Mabeste amesema ameamua kuimba gospel kwakuwa ndio muziki unaogusa mambo ya kijamii na kuelimisha na rap itabaki kama biashara.

“Nimefanya kufanya rap a commercial lakini sasa nina design nyingine ya muziki ambayo nataka kuimba ambayo itakuwa inahusu kijamii as kuelimisha zaidi kama gospel ndiyo kitu ambacho sasa hivi nataka nikifanye na nitarealese haina hata miezi miwili, ambayo itakuwa kwenye aina ya gospel.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents