Michezo

EXCLUSIVE: Samatta afunguka ligi anayoitaka na dili lake la Levante ya Hispania

Nyota wa klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji na timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Mbwana Samatta amesema kuwa anatamani mno kwenda kucheza ligi kuu ya Uingereza huku akimtaja mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane kuwa ndiye anayemkubali barani Ulaya.

Mbwana Samatta kutimkia La Liga ya Hispania, aandaliwa dau nono

Bofya hapa kupata orodha ya vijana 100 wenye ushawishi zaidi barani Afrika akiwemo Samatta

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents