Bongo5 ExclusivesMahojianoMitindoVideos
Exclusive Video: Interview na designer Sheria Ngowi
Sheria Ngowi ni mbunifu wa mavazi wa Kitanzania anayezielezea nguo zake kama Simple, Classic and Expensive. Ni maarufu si tu Tanzania, bali katika nchi nyingi duniani kwa utengenezaji wa nguo hasa suti za kiume bora na ghali zaidi. Tumepiga naye story kibao. Tazama mahojiano haya ili umfahamu zaidi.